Mtazamohalisi

Monday, November 15, 2010

Waziri Wa Mawasiliano India Ajiuzulu



Waziri wa mawasiliano wa India, Andimuthu Raja hatimaye ameachia ngazi kutokana na kashifa ya utoaji wa leseni  ya biashara kwa kampuni ya mawasiliano kwa thamani ndogo.
Kujiuzulu kwa Raja siku ya Jumapili  ni baada ya shinikizo kubwa kufuatia uchunguzi wa serikali na kukuta kuwa uuzaji wa  wigo wa wayalesi wa 2G ulisababisha hasara 1.76 trillioni rupia ($ 39billioni) kwa hazina.

Chanzo: http://english.aljazeera.net/news/asia/2010/11/20101115932966910.html

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...