Mtazamohalisi

Saturday, November 20, 2010

Tujikumbushe,Zamani na mavazi yao

Kwame Nkrumah
Ghana
                   
Mwalimu Nyerere
Tanzania
Jomo Kenyata
Kenya
 Hawa ndio vinara waliodai uhuru kwa mataifa yao ni Ghana iliyoifungua macho Afrika chini ya Mpiganaji Marehemu Kwame Nkrumah-6 March,1957
Tanzania ilipata uhuru chini mkombozi wa Afrika  Marehemu Julius Kambarage Nyerere -9 December,1961
Na Kenya ilipata uhuru chini ya kiongozi na mwanachama wa Mau mau Marehemu Jomo Kenyata-12 Desemba 19, 1963 .

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...