Mtazamohalisi

Monday, November 15, 2010

Tofauti Ya matajiri na Maskini Yajitokeza Wakati wa Hijja



Kwa zaidi ya idadi ya watu bilioni  moja duniani Hija ina maana ya kuwa sawa: kuondosha ukabila, utaifa na tofauti za kiuchumi.Hija  ni jambo la faradhi kwa Muislamu kwa yule mwenye uwezo wa kwenda, na huwa mara moja katika maisha ya kila Muislamu.Tofauti huondoka wakati wa Hija  kwa kuvaa vazi aina moja , kufanya ibada kwa imani moja.
Wote ni sawa kwa Mungu.
Hivi karibuni Mahujaji toka Emirates walilalamika juu ya huduma duni walizopatiwa wakiwa huko Mecca hasa udogo wa vyumba na muda wakupata mlo. 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...