Mtazamohalisi

Tuesday, November 16, 2010

Job Ndugai ndiyo Naibu Spika

Naibu Spika Mpya Mh.Job Ndugai
                                                                                 
Mheshimiwa Job Ndugai mbunge wa Kongwa ametangazwa kuwa Naibu Spika wa  bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.Ameshinda kwa kura 276 sawa na 84% dhidi ya mpinzani wake Mh.Mustapha Akonay.
Habari zaidi toka bungeni zinasema Mh. Job Ndugai ameshaapa na anakuwa naibu spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, rasmi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...