Mtazamohalisi

Tuesday, November 16, 2010

Bunge Lathibitisha Uteuzi Wa Waziri Mkuu

Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda
Hatimaye Bunge lathibitisha kwa kishindo uteuzi wa Waziri Mkuu, muda mchache baada ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Kikwete.
Hivyo basi, Mh.Mizengo Pinda mbunge wa jimbo la Katavi ameweza kufanikiwa kuendelea kuwa Waziri Mkuu kwa mara ya pili. Ushindi wake umekuja kwa kupigiwa kura 277 za ndiyo na 49 za hapana.

Waziri mkuu Mh.Mizengo Pinda anatarajiwa kesho kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete katika ikulu ndogo ya Chamwino.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...