Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipunga mkono kuwasalimu wananchi wa mkoa wa Dodoma, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Dodoma leo Nov 10, ikiwa ni ziara yake ya kwanza kufanya mkoani hapa tangu apate wadhifa huo. Kiongozi huyo atakuwa mkoani hapa kuhudhuria mikutano ya CCM katika ngazi za Kamati Kuu na Halmshauri Kuu na kisha sherehe za kuapishwa wabunge sambamba na uteuzi wa Waziri Mkuu. Picha na Muhidin Sufiani |
No comments:
Post a Comment