Freeman Mbowe atangazwa kiongozi wa upinzani bungeni
Mh.Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni
Naibu wake ni Mh.Zitto Kabwe
na Mh. Tundu Lissu anakuwa ni mnadhimu mkuu.
Awali nafasi hiyo ya kiongozi wa upinzani bungeni ilikuwa ikishikiliwa na Mh.Hamad Rashid wa CUF na
naibu wake alikuwa Mh. Willbrod Slaa wa Chadema katika bunge lililopita .
No comments:
Post a Comment