Baada ya kushinda kwa kishindo na kuwa acha mbali wagombea wenzake katika kinyang'anyiro cha kiti cha Uspika, kama kura zinavyojionesha:-
Makinda kura 211
Anna Abdalah 14
Kate kamba 15
Mh. Bi Anna Makinda wa CCM atapambana na Mh. Mabere Marando wa Chadema.
No comments:
Post a Comment