
Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Ofisi ya Waziri Mkuu Mh. Maria Nagu
akifurahi jambo na Waziri wa Ulinzi Dk. Hussein Mwinyi katika viwanja vya Ikulu.

Mh. Benard Membe akisalimiana na Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh.Shamsi
Vuai Nahodha katika viwanja vya Ikulu

Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete
katika picha ya pamoja na Baraza lake Jipya baada ya shughuli za kuapisha
Mawaziri na Manaibu wake.
No comments:
Post a Comment