Wakipata baraka za Mzee Madiba, Lucas Radebe na David Beckham |
YEBOAh alijulikana kama mchezaji hatari sana duniani kipindi hicho na kama kocha Clive barker alivyouelezea mchezo huo wa nusu fainali ''ukiondolea mbali pasi ya kipuuzi alioitoa radebe kumpa Yeboah katika dakika kumi za mwanzo ''mwanasoka huyo mkali wa ghana hakupata nafasi hata ya kulichungulia lango la Bafana katika dakika zote 80 zilizobakia'''' inawezekana hii ndio ilikuwa mechi yangu pekee ambayo sijawahi kumuona muafrika kusini akicheza kama vile ''Barker aliongeza''.
maisha yake akiwa hachezi mpira
Ijapokuwa Radebe sio muafrika wa kwanza kucheza mpira katika ligi kuu za nchi mbalimbali za ulaya mchango wake katika uchezaji wa kandanda na mafanikio yake katika uongozi na nidhamu ya hali juu sio tu sio umewapandisha soko wachezaji kutoka afrika bali pia umeleta mwako kwa wanunuzi kuwa na imani ya kwamba afrika inaweza kutoa kipaji kikubwa kiuchezaji na nidhamu.
Radebe ni mwakilishi(balozi) wa fifa kwa ajili ya kijiji watoto maarufu kama sos, vile vile amesaidia sana na jitihada za kupambana na ubaguzi wa rangi katika soka la ulaya
Mwisho.Pt 1: http://mtazamojamii.blogspot.com/2010/11/mjue-lucas-radebe.html
Pt 2: http://mtazamojamii.blogspot.com/2010/11/mjue-radebe-pt-2.html
No comments:
Post a Comment