Waziri wa mawasiliano wa India, Andimuthu Raja hatimaye ameachia ngazi kutokana na kashifa ya utoaji wa leseni ya biashara kwa kampuni ya mawasiliano kwa thamani ndogo. Kujiuzulu kwa Raja siku ya Jumapili ni baada ya shinikizo kubwa kufuatia uchunguzi wa serikali na kukuta kuwa uuzaji wa wigo wa wayalesi wa 2G ulisababisha hasara 1.76 trillioni rupia ($ 39billioni) kwa hazina.
No comments:
Post a Comment