Mtazamohalisi

Thursday, November 18, 2010

Rais Kikwete ahutubia Bunge.

RAIS Jakaya Kikwete, akiwahutubia wabunge, alipozindua Bunge, leo katika ukumbi wa Bunge, Dodoma, Kushoto ni Spika wa Bunge, Anna Makinda na Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal. (Picha na Muhidin Dufiani


   Wabunge wa Chadema wasusia hotuba na kutoka nje                     
Wabunge wa Chadema wakiendelea kutoka Ukumbini wakati Rais alipoanza kuhutubia, jambo ambalo lilimfanya Rais kusita kuanza hotuba yake.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...