Malikia Elizabeth na Mumewe Prince Philip wakiwasili Katika Msikiti Mkuu wa kumbukumbu wa Zayed |
Malikia Akiingia Msikiti wa Zayed Bila Viatu Kama Ishara Ya Heshima
Miguu Ya Malikia Ikiwa na Soksi Ndani Ya Msikiti Wa Zayed-Abudhabi (Picha zimepigwa 24 Nov,2010) |
Laura Bush Alipotembelea Saudi Arabia Okt,2007 |
Ziara ya Rais Barack Obama Nchini Indonesia
Barack na Michelle Obama pamoja na Imam Mkuu wa Msikiti wa Istiqlal, Jakarta. Nov, 2010. |
No comments:
Post a Comment