Mtazamohalisi

Tuesday, December 14, 2010

Rais Jakaya Kikwete Ahidi Kuinua Kiwango Cha Michezo Tanzania

Apokea kombe la ubingwa wa tusker challenge cup 2010
Afanya tafrija ya chakula cha mchana na wachezaji na viongozi
wa tff
Atunukiwa tuzo ya TASWA kwa mchango wake katika michezo


Hivi ndivyo Kilimanjaro Stars walivyowapa raha wa Tanzania

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...