Alexandria,Misri
Watu 21 wauwa wakitoka kwenye misa ya mwaka mpya
Abuja,Nigeria
Kumetokea mlipuko mkubwa katika eneo lenye mkusanyiko mkubwa wa watu
Walikuwa wapo kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya
Takribani watu 4 wauawa na 13 kujeruhiwa kwa mujibu wa maofisa wa polisi
wakati TV ya Taifa imetoa idadi ya waliouwa ni watu 30.
No comments:
Post a Comment