Kwa muda wa miaka 25,mwanamama Oprah Winfrey amebahatika kuwaunganisha watu mbali mbali katika kipindi chake maarufu cha Oprah show .
Lakini safari hii imekuwa kwa upande, katika hali ya kushangaza amejikuta anakutana na dada yake wa mama mmoja ambaye alichukuliwa kimalezi wakati yeye akiwa miaka 8.
Kwa kiasi fulani tukio hili litamliwaza Mama huyu kwani kwa kipindi kirefu alikuwa ana dai yakuwa ana asili ya Kizulu kutokana na vipimo vya DNA, hali wakuu wa kabila hilo lililopo nchini Afrika kusini wakikanusha kwa vizazi vyao kuchukuliwa utumwa kwenda Marekani.
No comments:
Post a Comment