Baadhi Ya Picha za Sherehe Ya Kuapishwa Mawaziri Na Naibu Mawaziri Ikulu
Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Ofisi ya Waziri Mkuu Mh. Maria Nagu akifurahi jambo na Waziri wa Ulinzi Dk. Hussein Mwinyi katika viwanja vya Ikulu. Mh. Benard Membe akisalimiana na Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh.Shamsi Vuai Nahodha katika viwanja vya Ikulu Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Baraza lake Jipya baada ya shughuli za kuapisha Mawaziri na Manaibu wake.
No comments:
Post a Comment